linda moyo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
linda moyo - Said Husein
...
Mooyooo wa mwanadamu oooo
Ni Nani awezae kuujua eeeeee,
Mana moyoooo wa mwanadamu
unaugonjwa ugonjwa wa kufisha aaa
Tena huu moyo wa mwanadamu ooo
Ni sawa na kichaka aaa Mana
Hutunza mema na mabaya aaaaa
Huu Moyoo wa mwanadamu oooii
Tena huu moyo wa mwanadamu
Unaweza ukamfanya mtu akawa karibu na Mungu oooiii,
Tena moyo huo wa mwanadamu unaweza ukamfanya mtu akawa mbali na Mungu baba eeee,
Moyo huu wa mwanadamu eee humfanya mtu akajiona yuko sahihi wakati wote eee
Akajivuna akajikweza aaaa na akafanya Mambo yasiyoo ya Mungu,
Tena akafanya pengine Mambo ya Mungu eee, huo huo moyo wa mwanadamu aaaa,
Linda sana moyo wakooo moyooo, kuliko Yale yote ulindaayoo mmmmmm
Linda moyo moyo wakoo
kuliko yotee uyalindayooo
Mana ndiko zitokakooo
Chemichemi hizo za uzimaaa
Mana ndiko zitokakooo
Chemichemi hizo za uzimaaa
Kwa nje mtu huonekanaaa kuwa ni mwemaaaa sanaaaaaa,
Tena mkarimu, mporee, mnyenyekevuu
Mwenye busaraaaa, mtu mweeemaaa
Asie na ugomvi na vitaa na watu ooo
Lakini huwezi jua moyoni mwakee Nini anawaza juu yakooo, Manaaa
Waweza tembea na mtuu njia moja
Usijue anakuwazia Nini eeee,
Waweza chekewa na mtu usoni ee
Lakini usijue moyonii anawaza niniii
Tena waweezaaa ishi na mwenziooo
nyumba moja usijue Nini awaza juu yakooo oooo,
Waweza Fanya kazi na mwenziooo Katika kazi moja usijue anawaza Nini juu yakooo,
Kweli moyo wa mwanadamu eee unatunza Siri nyingi nyingi mnooooo
Na hakuna ajuae Siri ya mwenzieee hakuna aijuaeee Siri ya mwenzieee
Lindaaaa Sana huo moyo wakooo kuliko yote ulindayoo iaaaaa,
Linda moyo wakoo Linda Sana aaaa Lindaaaa lindaaeeeeee
Linda moyo moyo wakoo
kuliko yotee uyalindayooo
Mana ndiko zitokakooo
Chemichemi hizo za uzimaaa
Mana ndiko zitokakooo
Chemichemi hizo za uzimaaa