labda Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
labda - Tone Baba
...
Intro.
Yeeh yeeh yeeeeh
ooh oouoh.
Verse i
Liwe pamba nivae,
Kito cha thamani nikiweka ning'aeee
kiwe kiti nikae,
Linifae peke angu nisichanganyikaaneee,
Bridge.
Wasije wakankamiaaa,
Nikamaliza mwendo wakanitaniaaa mhh,
Kichwani akaniingiaa,
Naogopa sana mi kuumia,
Yaani wasije wakanitania ah,
Nkamaliza mwendo wakanitaniaaa,
Mh Kichwani akaniingia,
Naogopa sana na nina mashaka.
Chorus.
Labdaa
( Wakiacha misemo,nikiona vitendo nitapenda ).
Labdaa
( Yakipungua maneno,dhidi ya vitendo ntapenda ).
Labdaa
( Tukiacha misemo, nikiona vitendo ntapenda ).
Labdaa
( Ikipungua misemo nikiona vitendo ).
Verse ii
Nisije nikazama,
yakanichanganya,
Nikabadili leo yangu kua jana.
Maji ya moto bwana,
sifa ya ujana,
Aku dhaifu mie naogopa sana.
Maana wana hila,
Na naogopa mi kuumizwa,
Mioyo ina hasira,
Wanafanya kulipiza.
( Repeat bridge )
( Repeat Chorus )
Autro.
Nisijepata nyakunyaku,
Yanini kutwa nyatunyatu,
Wala siwezi katukatu my love
mama mh
Labda nione vitendo,
Mpaka nione vitendo,
Labda nione vitendoooo,
Labda nione vitendo,
Ndo nitapenda.
Oh vitendo , yeah.