03. Sisi ni nani Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Sisi ni nani, tukutae kutumwa na wewe
Ujumbe wako, tutaueneza milele
watu wote wakujue wewe ni Mungu
(Mungu mkuu Yesu usieshindwa)
Mashariki wakujue, Magharibi wakujue
Kaskazini wakujue, wewe ndie Yesu
Aee Aee Tupendezwe na Upendo wako
Tukuhubiri wewe, siku zote za maisha yangu x 2
Injili yangu, ipendwe na wewe ewe Yesu
Mahuburi yangu, yapendezwe nawewe ewee Yesu
Nisiwe mtu wakutakasifa kwa wanadamu Ewe Yesu,
Niwe mtu, wakutazama kweli yako tuu
Unipendelee Bwana
unifinyange Bwana
Uniweke niwe wako tu, nikutangaze
Aee Aee Tupendezwe na Upendo wako
Tukuhubiri wewe, siku zote za maisha yangu x 2