Huba Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Aaaaiyeee iyeee
aaah heee iyee
Mmmmhm
VERS 1.
penzi fundo
la uuzi maama lifume
Si kwako tungo
la sindano sio unichome
Msumarii nyuundo
Nigonge ngongongo nioone
unipage Ruundo Hubba ziitoo Aheee
Nijifiche wasinioone Kwa shuka ziitooo
nyama Nonono Ni none Hitimishoo
Laa kidali niliuume na Kwa kijikoo
Kwa nomino Nikusoome na kwa
CHORUS .
Ndege nmenasa Kwa Ulimbo
Aaaaaa aaaaaah
Nando nishamiliki Jimbo
Aaaaaa aaaaaah
kama siriz isidingo
Aaaaaa aaaaaah
mi nayey mpaka kifo
Aaaaaa aaaaaah
Mahasidi Mtukoome
VERS 2.
Daarii Laa Gofuu Languu lime randana Na Paa
Ufaharii wa Moyo wanguu Kwako Kutuaama
Umiliiki Kiwanda Chaangu Tuzalishe Pachaa
Ufahamuu wa Akilii Yanguu
Tatee Nasimamaa
penzi letu Bahama Nifunge kifungo cha ukosi
Tutoane Bandama Tuchekee michezo ya kidosi
Nawe Nimesha Kuaminiii
Aaaaaaah
Nawe Nimesha Kuaminii
Aaaaaaaah
Na nimekula Yaaminii
Aaaaaaaah
Ayo Maneno Ya Lokole Masha lovo yaninii
Aaaaaaaah
Atakuja na Mwijaku akini sema wala Usiwaamini
CHORUS .
Ndege nmenasa Kwa Ulimbo
Aaaaaa aaaaaah
Nando nishamiliki Jimbo
Aaaaaa aaaaaah
kama siriz isidingo
Aaaaaa aaaaaah
mi nayey mpaka kifo
Aaaaaa aaaaaah
Mahasidi Mtukoome