Sitaki Mawazo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Kuna wengi wanahitaji nafasi yako
Baby nakuomba uniache ni gooo
Siweizi kisasi napenda bado
Baby itakuuma lakini ina bore ooh
Siwezi kisasi napenda bado
Baby itakuuma lakini ina bore oooh baby
Let me be free sitaki mawazo let me
Let me be free sitaki mawazo let me
Let me be free sitaki mawazo let me
Let me be free sitaki mawazo let me
In frontline are all church leaders
Talking paradise where the hell you lead us
Talking good instead you are full of malice
All eyes on you on bed your body surface ooh
What the freak you think is going to lose Lee
Am not a living dead i got the boss key
A freaky popo is black and black is me
Of course he did it on a pretty gee
In whose name you think you making drama
If Lord am sorry unless you fall in trauma
Let me be free sitaki mawazo let me
Let me be free sitaki mawazo let me
Let me be free siataki mawazo let me
Let me be free sitaki mawazo let me
Haja yangu sio tu kuisoma katiba mama
Ni uchungu ilivyo dhani we chanda chema
Nina mpenda kweli mi nakiri
Mola wangu nakuomba unisitiri
Maana aliniumiza mi hapo mwanzo
Akanimwaga na machozi
Akanifanya mimi poyoyo
Nikaonekana sana mshenzi yeah
Na leo nimeteswa
Kesho sitaki kuumizwa
Na mwengine ooh nimechoka
Let me be free sitaki mawazo sitaki mawazo let me
Let me be free sitaki mawazo ooh sitaki mawazo baby let me
Let me be free sitaki mawazo oh oh oh my baby let me
Let me be free sitaki mawazo sitaki let me
Ooh sitaki mawazo
Sitaki mawazo
Sitaki mawazo baby