Maajabu Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
Lyrics
Maajabu - Ney Lee
...
oooh oooh oooh
ooooh ooh
......,.
kama maajabu kwetu sisi ndo utaniutani mungu ametupa mbawa tunapaa angani
ndege vipepeo mashahidi honey hayaaa
kwa shingo mimi maji ninatapatapa we chukua akili zangu hakuna shaka darlin
oooh hayaaaa
umenifanya nijione wa pekee kwa furaha unayonipa najiona babe
nadekaa
unaniweza
njoo nibebee
najiona first of all best of all you are my only one
mazuri nikuombee love mpaka kifo you are my only one
maulana kapitisha mimi nawe kupendana
sifikilii kuja kulizwa na wewe najua unanipenda babe
maulana kapitisha mimi nawe kuungana
sifikilii kuja kulizwa na wewe huwezi kuniacha wewe
maulana kapitisha mimi nawe kupendana
sifikilii kuja kulizwa na wewe najua unanipenda babe
maulana kapitisha mimi nawe kuungana
,,,,,,,
umenifanya nijione wa pekee kwa furaha unayonipa najiona babe
nadekaa umeniweza
njoo nibebe
una nafasi ya juu
nishajuaa
maua chanua babe
mvua mwagilia darlin
umenifanya nijione wa pekee kwa furaha unayonipa najiona babe
nadeka umeniweza
njoo nibebe
najiona first of all best of all you are my only one
mazuri nikuombee love mpaka kifo you are my only one
maulana kapitisha mimi nawe kupendana
sifikilii kuja kulizwa nawe najua unanipenda babe
maulana kapitisha mimi nawe kuungana
sifikilii kuja kulizwa nawe huwezi kuniacha wewe
maulana kapitisha mimi nawe kupendana
sifikilii kuja kulizwa nawe najua unanipenda babe
maulana kapitisha mimi nawe kuungana
sifikilii kuja kulizwa nawe najua unanipenda babe
.......
ney lee
..............