Bembea ft. Oskidy Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2022
Lyrics
Basi baby bembea
Sweet basi bembea
My love bembea bembea
Bembea bembea
Basi baby bembea
Sweet basi bembea
My love bembea
Bembea bembea
Siamini yamekua
Yamekuwa mama
Siamini yamekuwa yamekuwa
Na samaki nimesha vua
Nimesha vua mama
Na samaki nishavua nishavua
Siamini kama nipo na wewe
Nipo na wewe
Siamini kama nipo na wewe
Nahisi ndoto zimetimia
Baby tupo kando yabahari mi nawe mimi nawe
Tupo kando ya bahari nawe tunaenjoy tunaenjoy
Basi baby bembea
Sweetheart bembea
My love bembea
Bembea bembea
Basi nyota yetu mama imengaa
Na penzi letu litadumu
So baby I love you
I need you
Only you
Baby boo
Hisiya za mapezi zimenishika
Sina budi mimi kupenda
Umeniteka umeniteka
Umeniteka
Siamini kama nipo na wewe nipo na wewe
Siamini kama nipo nawe
Na hisi ndoto zimetimia
Basi baby bembea
Sweet basi bembea
My love bembea bembea
Bembea bembea
Basi baby bembea
Sweet basi bembea
My love bembea
Bembea bembea