Fly away Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Mkataa pema pabaya pamuita
Ya wahenga si langu mimi
Alinifunza babu hakuongopa
Usijapo pema ukipema pageuka takataka
Wataka nini,
Ulichotaka hutaku utajichoosha wewe
Sumu dawa ka hujajua
Hatadawa pia inaua sumu sio sumu dawa
Uamuzi tu chukua
Wataka jitibia au ikupe madhara
Na bado hujatambua
Penzi sawa na ua
isipo nyesha mvua usiliache
Chota maji mwagilia
Magugu palilia
Hakikisha la chanua lisinyauke
Mwenzako Roho inaniuuma
(Uuumaaa)
Mi nahisi umenichoka
In case of mistakes sema na me
(Sema na mi ,Sama na mi yeye)
Dalili nazisooma
(Sooma)
Mi nahisi umenichoka baby please don't fly away
(Chorus.)
Am still want you please don't fly away
.....
Am still want you please don't fly away
......
Baby
Am still want you please don't fly away don't goo
......
Am still want you please don't fly away
Asali ndo asali
ila kuna muda nayo inakinai
Na haimaanishi utamu wa asali umekwisha
ila sometimes changamoto ndo ladha tusikinai
So mwaali udhaniapo ndipo sipo ndipo
Usije ukaji confuse
Ya kwangu madogo dunia inamengi mama wee
In case u need a break time
(Semaa)
Haina noma mi ntakupa likizo
Hii kambi chunga usiinyee
Soon you gonna miss me crazy babe
Na kumbe bado hujatambua
Penzi sawa na ua
isipo nyesha mvua usiliache
Chota maji meagilia
Magugu palilia
Hakikisha la chanua lisinyauke
Mwenzako Roho inaniuuma
(Uuumaaa)
Mi nahisi umenichoka
In case of mistakes sema na me
(Sema na mi ,Sama na mi yeye)
Dalili nazisooma
(Sooma)
Mi nahisi umenichoka baby please don't fly away
Chorus.)
Am still want you please don't fly away
.....
Am still want t you please don't fly away
......
Baby
Am still want you please don't fly away don't goo
......
Am still want you please don't fly away
Don't fly awaay
Nonono don't fly away
Roshi