Why Not? Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2022
Lyrics
iiiye iye iyeee eeeeeee eee
mmmh..!
Naskia ridhiki mafungu,
Kila mtu na lake anayagawa Maulana.
Wengi wamepata,
Ila langu sioooni.
Mmh!
Nasaka kila uvungu,
Hadi najiuliza ni mikosi ama laana?
Swali lanikuta,
Kwangu why nooot?
Mmmmh!
Japo ninahudhuriaga kila ibaaada,
Kukuomba wewe Mungu Baba,
Najua ndiwe msaaada,
Yote utayabebaa.
Sa mbona nadidimia hata nikisimaaama,
Ninakokwenda siwezi tena kuona,
Niambie wapi ninakwama,
We ndo unanionaaa aaaah.
Oooona
Maumivu bila ku-peeeenda,
Stress hadi na-koooonda,
iyiiiiiiii...
Yani ki-doooonda,
Moyoni nina ki-doooonda,
Stress hadi na-koooonda weeeh!
I'm keeping asking my self oowhyyy..?
Bado najiuliza why not?
-mi bado najiuliza why nooo...?
Whyyyyy why not?
-why noo eeee eeee...!
Mi bado najiuliza why not?
-mi bado najiuliza why nooo...?
Whyyyyy why not?
-why noo oo-oo-oooooooh....?
Mmmmh...!
Bustani ya mafanikio yangu imeota maguuuugu,
Ta nikijitahidi kupalilia wanakuja waduuuudu,
Ouuuooh!
Nabaki tu najililia,
Ina bifu nami hii dunia we!
Sawa penye nia pana njia,
Why umaskini bado unaning'ang'ania eeeeh?
Japo ninahudhuriaga kila ibaaada,
Kukuomba wewe Mungu Baba,
Najua ndiwe msaaada,
Yote utayabebaa.
Sa mbona nadidimia hata nikisimaaama,
Ninakokwenda siwezi tena kuona,
Niambie wapi ninakwama,
We ndo unanionaaa aaaah.
Oooona
Maumivu bila ku-peeeenda,
Stress hadi na-koooonda,
iyiiiiiiii...
Yani ki-doooonda,
Moyoni nina ki-doooonda,
Stress hadi na-koooonda weeeh!
I'm keeping asking my self oowhyyy..?
Bado najiuliza why not?
-mi bado najiuliza why nooo...?
Whyyyyy why not?
-why noo eeee eeee...!
Mi bado najiuliza why not?
-mi bado najiuliza why nooo...?
Whyyyyy why not?
-why noo oo-oo-oooooooh....?