
Mungu ata deal nao Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Uuum uummm
Kyekyekye
Uuum uuumm
Kyekyekye
Mungu akiamua kukuinua
Vinadamu ninani apingeeee
Na baraka zitokazo kwake
Hakuna wakuzuwia kamwe
Tambua na wakati wake
Ni kama upepo uvumao
Aki panga ku kubariki
Ata wawange
Utabarikiwa
Aki panga ku kuinua Mungu
Hata wakushushe
Utainuliwa
Aki panga ufanyikiwe
Hata wakucheke
Utafanikiwa
Aki panga vita ushinde Yahweh
Bila ku mwanga damu
Utashinda
Acha wasemezane
Mabaya
Juu yako
Mungu atasema nao
Wala husijibizane
Kwa ubaya
Muachie Mungu
Ata deal nao
Acha wasemezane
Mabaya
Juu yako
Mungu atasema nao
Wala husijibizane
Kwa ubaya
Muachie Mungu
Ata deal nao
Huwezi ukapendwa
Na dunia yote
Kama unaishi na vinadamu
Itatokea
Kuchukiwa
Hata bila sababu
Unajua bwana
Vinadamu kaumbwa na nyongo
Kuna wakati utajisikia vita
Vaa vazi la ujasiri
Songa mbele
Wakikusema
Maneno mabaya
Ayo ni mavumbi
Kunguta songa
Wakikuikaliya vikao
Husigeuke nyuma
Wewe songa
Tamati ya haya yote
Hakimu ni Mungu
Aaa
Wakisema uta fail
Hao si Mungu
Wapuuze
Wakisema utarudi nyuma
Hao si Mungu
Wapuuze
Wakisema utashuka tuu
Hao si Mungu
Wapuuze
Aaaaa
Hao si Mungu wapuuze
Hau si Mungu
Wapuuze
Acha wasemezane
Mabaya
Juu yako
Mungu atasema nao
Wala husijibizane
Kwa ubaya
Muachie Mungu
Ata deal nao
Acha wasemezane
Mabaya
Juu yako
Mungu atasema nao
Wala husijibizane
Kwa ubaya
Muachie Mungu
Ata deal nao
Acha wasemezane
Mabaya
Juu yako
Mungu atasema nao
Wala husijibizane
Kwa ubaya
Muachie Mungu
Ata deal nao
Acha wasemezane
Mabaya
Juu yako
Mungu atasema nao
Wala husijibizane
Kwa ubaya
Muachie Mungu
Ata deal nao
Acha wasemezane
Mabaya
Juu yako
Mungu atasema nao
Wala husijibizane
Kwa ubaya
Muachie Mungu
Ata deal nao
Acha wasemezane
Mabaya
Juu yako
Mungu atasema nao
Wala husijibizane
Kwa ubaya
Muachie Mungu
Ata deal nao