![Ghetto Love ft. 100](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/30/b030ebd1e6004a9db6bf32ff30d9d2f2_464_464.jpg)
Ghetto Love ft. 100 Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Yeah
A1 A1
Unajua nini Buga
There is something about this girl man
Tumetoka ghetto
Tukala wote msoto
Pindi sijasettle msela nipo so local
Ukanifanya gentle
Ukanipa na mtoto
You make me feel special kama nimeshinda Biko
You my sunshine the Power behind my success
Kumbuka time tunaishi chini ya Budget
Ulinipa moyo nikapambana ile Do or Die
Japokuwa walisakama kuwa sikufai
Its our celebration unachotaka I do buy
Next Vacation twenzetu Dubai
Wewe ni bonge la hustler
Mchagga flani mtata ila brain ipo smarter
Nimefurahi sana kukupata na sasa
Tukafungue Chapter kwa Pastor yani fasta
They never know the story story
Mbali tulipotoka me na glory glory
Mapenzi yako ni Shati na Colla
Napoona
Mpaka najisikia raha
Kila mahali watu wanakusoma
Wana fall dah but I'm not feelin down
Mapenzi yako ni Shati na Colla
Napoona
Mpaka najisikia raha
Kila mahali watu wanakusoma
Wana fall dah but I'm not feelin down
Sina tena chains nipo free yake mapendo
Baada ya Mungu, Family na Hustle ni huyu mrembo
Nna vision za kidon ntatoboa nkijituma
Sitakua successful bila ya kuwa na real woman
Alinipenda kama nlivyo hakutaka kunbadili
Nlipokua kwenye crisis ye ndo alihusika na bills
Aliweza bana matumizi tupate sehemu ya kujisitiri
Alinifundisha life kama hustle na Ubahili
Alielewa nachomaanisha alipoiona tu ile pete
Na aliponipa visa nikamspoil na vacation
Her game so strong pale kati ni kasheshe
Hujisikia tu kutapika kila nikiona vicheche
She is a hustler, kama Beyonce wa Jay Z
We the Carters living Young Wild and free
Mapenzi yako ni Shati na Colla
Napoona
Mpaka najisikia raha
Kila mahali watu wanakusoma
Wana fall dah but I'm not feelin down
Mapenzi yako ni Shati na Colla
Napoona
Mpaka najisikia raha
Kila mahali watu wanakusoma
Wana fall dah but I'm not feelin down