Exit Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Exit - Game Boi
...
Game ........Arusha Boy music
Yesu wanguuuu
wanasubiri nifariki ndo wanisupport
wanajua najua af hawanitaki
........arsen si unipost
unacheki pono unadai bando aitoshi
ata mniteke sihami bongo kama kaka Roma
ata mnitese mnisengenye siwez kulalama
walioninyanyasa ndo wanenifundisha kuwa mnyama
leo wanaroroma wanapata tabu sana
nishavuka mipaka nikala papa mpaka wa lusaka
bongonyo na janjaro bongo nina paka rapa
najua machaka nishafika kenya kwa king kaka
wanajua bambata nishawapakata watoto wa tabata
ukinitafuta najua kuna kitu unataka
hapa haupati kitu nauza mpaka takataka
manzi alinikaaa nikajua kuna buzi amempta
kumbe anakunana na mwezake anamsaga
sili mboga dada ana lalaga na karoti
nina mkosi wa kupendwa na wake wa mapoti
kipindi student school alinipenda teacher bety
kila week end na zamu ya kupiga kwake deki
niombee korona ukishindwa kanilogee ngoma
namba utaisoma ila kuishika huwa ni
noma
shutout maniga mtu m‘badi mwaisa nyonyoma
mtesama sana ikifika usiku mtakoroma
amnitishi ata kidogo,
amtubabaishi ata mkiboli na kigogo
mnamwita chawa afu kwa wana virobto
jela utaliwa acha kutugongea misokoto
nina mama sita me sijui nyeto
nachagua yupi wa kufia geto
nina carrier inaniangalia
biri mama baba pia na the don aminia
.......studio ps
......it’s my ambition
......mama....