
Kwani NiliExpect? Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Kwani NiliExpect? - Julixn Drizzle
...
I never thought
Mimi na wewe tutakutana (tutakutana)
tukapatana huko kwa turn up
si tukikata
hukuninotice Mara ya Kwanza,ukanipita(ukanipita)
better Ni me ukaita.
mzinga Ni ka zimeshika
na hapo ndio story ikaanza
ukanishow ati me Ni wa Kwanza
siku ikakuwa Ni wiki
wiki ikakuwa Ni miezi na miaka
si hatuwezi achana
hiyo Ni jokes
ogopa wasichana
sikujua ati mimi ndio come up
true akajipanga
akamove on akaniwacha
me niko zone
Kila kitu niliown akanitoka
ye aka go
nilikuwa Niko lone but machozi sidai ziroll
sitokangi home ju niko alone
kishada na chrome
nikachizi kiasi kijana toxic
Niko kwa throne
nikarudi kwa soko
me nikachezi
me nikascore
me sidai mapenzi
me niko heartless
me niko cold
me sidai mapenzi
me niko heartless
hiyo Ni no
hii ndio thanks I get
siwezi forget
kwani niliexpect?
kwani niliexpect? (eeh eeeh )
ati thanks I get
maisha regret
kwani niliexpect?
kwani niliexpect?
hii ndio thanks I get
siwezi forget
kwani niliexpect?
kwani niliexpect?
ati thanks I get
kwani niliexpect?
kwani niliexpect?
kwani niliexpect?
kwani niliexpect nini?
kunichocha Ni Mimi I'm winning
kuniwacha nibaki mjini
ukaenda siwezi amini
nilidhani Ni Mimi na wewe
lakini ni Kama ulikuwa umepanga vingine
nilidhani Ni Mimi na wewe
lakini ni Kama ulikuwa na option ingine
hiyo ni poa tu
ka uko sawa niko sawa tu
Mimi I wish I knew
lakini the best I'm wishing you
siwezi jitesa buyu me nimesonga
me nimemove
me nimesema cool
siwezi kubali kuwa fool
akamove on akaniwacha
me niko zone
Kila kitu niliown akanitoka
ye aka go
nilikuwa Niko lone
lakini machozi sidai ziroll
sitokangi home ju niko alone
kishada na chrome
nikachizi kiasi kijana toxic
Niko kwa throne
nikarudi kwa soko
me nikacheza me nikascore
me sidai mapenzi
me niko heartless
me niko cold
me sidai mapenzi
me niko heartless
hiyo ni no
hii ndio thanks I get
siwezi forget
kwani niliexpect?
kwani niliexpect?
ati thanks I get
maisha regret
kwani niliexpect?
kwani niliexpect?
hii ndio thanks I get
siwezi forget
kwani niliexpect
kwani niliexpect?
ati thanks I get
kwani niliexpect?
kwani niliexpect?
kwani niliexpect?