Ayuni Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Ayuni - Jaydady
...
...........................
............... mh
sirii imejaa siri ,mie nabahati mimi kupendwa nawewe AAmin,ivi umenipa nini,moyo
umeutia pini ,Mola anilindie wewe Amin,oh laiti
ungejua unavyo usumbua moyo wangu,mwenzio silali (silali)mh ooh unasoma
nadua Jalali niepushie mabaya yangu nasali(nasali)
nikupe nini urithike chunga tama watakuja wanizikeee bure aaaaaaaaaah
sina kitu usijute nikikosa nitapata afadhali usisusee bure aaaaaaaaaah
chanda chema nikuvike waepuke chama penzi lifike kule,njoo nikufundishe pembezoni nikaa darasa tuunde shule
...............................
wewe ni wangu mimi niwako, ma hayuni
wewe ni wangu mimi niwako , ma hayuni
kupendwa rah natakataka mi mwenzako ,tafadhali wanikubali na dugu zako ooh oooo kama adithi ya mapenzi iyanze kwako mmh
mi sina shaka hofu yangu juu yako, woo ooh oo
omoyo wangu mweupe wasiutie doa wanafiki ,ndege upeperuke, kwa dua zao,wanafiki,tutamani turuke,nikupe pipi kijiti,kwenye joto nipepee unikalie kama kiti
.........(oh)owoooo oo wewe ni wangu mimi niwako, ma ayuni baby
(ooooooh)wewe ni wangu mimi niwako (nakupa aahh) ma ayuni
natakata mh penzi liposhatosha haaaaa aaaaaa
natakata mh penzi lipolishatosha haaaaa aaaaaa
haaaaa aaaa.............
haaaaa aaaaa.........