DUNDA Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Yow its your boy Da Gama (Namuona dame)
Na Man Opips Agwan (tunaona madame madame)
Jack Jack on the Beat...
Dunda Dunda dunda dunda dundaaa
Baby songa karibu (yangu yanguu)
Dunda Dunda dunda dunda dundaaa
Hebu cheza na Mimi
Dunda Dunda dunda dunda dundaaa
Baby songa karibu (yangu yanguu)
Dunda Dunda dunda dunda dundaaa
Hebu cheza na Mimi
Sio siri nakucheki napenda unavyo Shaky
Songea karibu nikupige Pecky,
Sijaribu kuku Teki nacheki umebleki
Haucheki na smile yako Feky,
Mummy nauliza swali unaeza dance na me,
Napenda sana hiyo color ama wee ni Mlami,
Si kama lami uko solo ama na nani,
Kuna fisi wengi ndani samahani jina lako nani?
Kuna vile una tesa chini kwa chini juu ya meza baby,
Kuna vile una tesa chini kwa chini juu ya meza baby,
Dunda Dunda dunda dunda dundaaa
Baby songa karibu (yangu yanguu)
Dunda Dunda dunda dunda dundaaa
Hebu cheza na Mimi
Dunda Dunda dunda dunda dundaaa
Baby songa karibu (yangu yanguu)
Dunda Dunda dunda dunda dundaaa
Hebu cheza na Mimi
Move your body, Kila siku ndani ya club it's getting hot in here,
vile unatesa girl you got me going crazy going...
Now am like a star
that shines in the night
her shining armor she says
am her knight
When she's around me she walks with a style ooohh...
Makes me say I like the way you move your body.. Hey yeah yey
Kuna vile una tesa
Chini kwa chini juu ya meza babyyy
Dunda Dunda dunda dunda dundaaa
Baby songa karibu (yangu yanguu)
Dunda Dunda dunda dunda dundaaa
Hebu cheza na Mimi
Dunda Dunda dunda dunda dundaaa
Baby songa karibu (yangu yanguu)
Dunda Dunda dunda dunda dundaaa
Hebu cheza na Mimi
So baby njo tuingie floor,
Kwa wale hawajui basi kuja tuwashow,
Niko na feeling na wee ndo unanipaa
Na juu bado meno iko baby njoo tucheze rhumba,
So baby kataa, kataa baby kataa,
Unacheza poa body chupa Coke fanta,
Ka prof nimedata ukweli si kataa,
Figure fiti kama number 8 Mata,
Kuna vile una tesa chini kwa chini juu ya meza baby,
Kuna vile una tesa chini kwa chini juu ya meza baby,
Dunda Dunda dunda dunda dundaaa
Baby songa karibu (yangu yanguu)
Dunda Dunda dunda dunda dundaaa
Hebu cheza na Mimi
Dunda Dunda dunda dunda dundaaa
Baby songa karibu (yangu yanguu)
Dunda Dunda dunda dunda dundaaa
Hebu cheza na Mimi
Baby songa karibu yangu yanguuu
Hebu cheza na mimi... Na Mimi
Baby songa karibu yangu yanguuu
Hebu cheza na mimi