
Salama ft. Alice Kimanzi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Salama ft. Alice Kimanzi - Ben Cyco
...
Salama Lyrics
Hoo hoo
kwa Yesu
Fedha ni mali yako,dhahabu ni ako pia
ukizichukua zote uniachie roho wako
wewe unapeana tena unachukua
ukizichukua zote uniachie roho wako
Yote nilo nayo kila nitakacho
yote bure kama sina roho wako
yote nilo nayo kila nitakacho
yote bure kama sina roho wako
Kwake niko salama
salama,salama,salama
salama nikiwa na Yesu
Kwa Yesu
salama,salama,salama
salama nikiwa na Yesu
Kukosa kazi,kukosa wazazi
isiwe nafasi ya kutokuwa fuasi
apeanae achukuae,ni ule ule habadiliki kamwe
Yote nilo nayo kila nitakacho
yote bure kama sina roho wako
yote nilo nayo kila nitakacho
yote bure kama sina roho wako
kwa niko Yesu
salama,salama,salama
salama nikiwa na Yesu
kwa niko Yesu
salama,salama,salama
salama nikiwa na Yesu
Chini mabawa yake,ammenifunikaa vitisho vyao usiku mchana haviwezinishika
chini ya kivuli chake nimepumzikaa vitisho vyao usiku mchana haviwezinishika
Kwa Yesu
salama,salama,salama
salama nikiwa na Yesu