Unastahili Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Mungu wa upendo
Unayeliishi pendo
Kwa maneno
Na matendo yako
Uliacha enzi yako
Ukashuka Duniani
Ukatoa maisha yako
Dhabihu kwaajili yangu
Unastahili Bwana
Unastahili Bwana
Nakupenda
Nakupenda
Bwana
Damu yako
Yanena mama
Yapaza sauti ya neema
Na rehema
Habari njema ukombozi
Unastahili Bwana
Unastahili Bwana
Nakupenda
Nakupenda
Bwana