Sikatai Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2022
Lyrics
Sikatai - Sharon Tz
...
Chamazi Music
Hey Darling Umenifunga,Zangu zangu mboni
Hey Darling Umenifunga,Zangu zangu mboni
Mie chali ukiniyima tiba siponi
Ah we ni bima kwangu baya huna ayayayaaaa
Nivimbishe kiboss kitumbo
Wacha wapigane vikumbo
Vile ndege umenisana ulimbo
Kwako kutoka sitamanii
Umenikamata kamata kamata
Vibaya wewe
Umenikamata kamata kamata
Vibaya wewe
Aaaa kwako sikatai
Aaaha kwake sikatai
Ahaaa kwako sikatai
Aaaha kwake sikatai
Unavyotaka napinga mgongo upande
Sina ujanja natii sheria afande
Pale ulipo mi nipo tuu
Ohh baby boo ohh baby boo
Faraja yangu ni wewe tu
Ohh baby boo ohh baby boo
Nivimbishe kiboss kitumbo
Wacha wapigane vikumbo
Vile ndege umenisana ulimbo
Kwako kutoka sitamanii
Umenikamata kamata kamata
Vibaya wewe
Umenikamata kamata kamata
Vibaya wewe
Ahaaa kwako sikatai
Aaaha kwake sikatai
Ahaaa kwako sikatai
Aaaha kwake sikatai
Ahaaa kwako sikatai
Aaaha kwake sikatai
Chamazi Music