OyaOya Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
Lyrics
OYA OYA
Haha Sniiightt
Yeeeehh yeeeeeeeh
Aaaahhhh
Ana Shepu kama tembo,
Mwendo mnato ulimbo,
Huyu mtoto songombingo,
Anataka malindo,
Ana mapozi maringo,
Kama twiga wa bongo,
Na vile mtamu embe dodo,
Tamumpaka kisogo,
Ananikosha akitia nazi, kwa penzi
Vile kumwacha ndo siwezi,
Niko radhi hata kitanzi
Juu yake,
Kwenye pua na kipini,
Moto akivaa bikini,
Yupo mng'aafu kamadini,
Niko radhi hata kitanzi juu yake,
Oya oya oya oya
Nampenda sana,
Oya oya oya oya
Na hatutoachana ×2
Kweli ukipendacho,
Ndo moyo ukusudiacho,
Asante macho,
Kwa kunionesha huyu mpenzi
Chupa na mfuniko wako wake,
Mwali mti na mizizi yake,
Asante mungu
Kwa kunichagulia mpenzi
Nampenda sing'oki
Kisiki ngingi
Ndo kwanza ujenzi tumemaliza, ezeka paa
Ananikosha akitia nazi, kwa penzi
Vile kumwacha ndo siwezi,
Niko radhi hata kitanzi
Juu yake,
Kwenye pua na kipini,
Moto akivaa bikini,
Yupo mng'aafu kamadini,
Niko radhi hata kitanzi juu yake,
Oya oya oya oya
Nampenda sana,
Oya oya oya oya
Na hatutoachana ×2
Yeeeeeeehh