MOE JAY & JENNY TRACK (4) SIFA (128kbps) Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
MOE JAY & JENNY TRACK (4) SIFA (128kbps) - Moe jay Music
...
(producer)
eko wa miracle
nakushukuru ewe mwenyezimungu,
kwa kunipa pumzi nyingine teena,
kwa kunipa siku nyingine teena,
ila namaswali mengi ninayo jiuliza ambayo hayana majibu,
na nnahakika hakuna wa kunijibu ohw why?,
uliumba sayari , ukamuumba shetani,
ukaumba mbingu na nchi ukaumba bahari,
ukaumba masikini hukusahau wenye mali,
ukaumba vitu vingi tunakuita we jabaari,
ukaumba dua tuombe ili ukubaali,
tusake tonge ili kesho tuwe na uhai,
ukaificha na ile siku ambayo tatokwa na uhai,
hatuna budi kukuheshimu we ni mungu ulie hai,
najiuliza sana ,
sipati jibu baba,
au ulifanya makusudi tuishi nao labda,
pumzi wanayo baba,
mali wanazo baba,
ila wanapinga uwepo wako wanapotosha waja,
niko kwa kiza na naona mbali pa kutokea,
najiuliza tafika hata nikisogea?
sina jibu sina budi tuu kutembea,
najiamini mungu wangu ndo atanitetea.
sifa zoze zije kwaako tuuu,
siwezi kujutiia noo ooo,
kwa hivi jinsi nilivyooo
oooo oooooh,
pumzi yangu hii ni buure tuu,
siwezi kulipiia noo ooo,
siwezi kulipiiiaaa '
nooo ooooh,
pole wagonjwa mliolazwa hospitalini,
pole wafungwa mlio hukumiwa gerezani,
pole wajane , pole masikini,
pole yatima ila mungu yuko na nyinyi,
ah!
si ulisema nisamee mara sabini sa',
mbona ishapita na hii mara tisini sa'.
huyu ana zini ah! huyu hana dini ila,
umebeba wema kutuonyesha wendo king (GOD)
najiuliza sana ,
sipati jibu baaba,
au ulifanya makusudi tuishi nao labda,
pumzi wanayo baba,
nguvu wanazo baba,
ila wanaiba na wanahitaaji wako msaada,
niko kwa kiza na naona mbali pa kutokea,
najiuliza tafika hata nikisogea?
sina jibu sina budi tuu kutembea,
najiamini mungu wangu ndo atanitetea
aaaaaaaah aaaaaaaaaaaah,
mungu ndo atanitetea aaaa,
onana naaaanaa how wow woow.
sifa zoze zije kwaako tuuu,
siwezi kujutiia noo ooo,
kwa hivi jinsi nilivyooo
oooo oooooh,
pumzi yangu hii ni buure tuu,
siwezi kulipiia noo ooo,
siwezi kulipiiiaaa '
nooo ooooh,
it's moe jay