
Wanje Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2022
Lyrics
Wanjee
Wanjee
Wanjeeee
Yani raha
Mapenzi raha
Mi kao kao saa na vuna
(Tena)
Sitaki wala nawa kemea
(Maana)
Sauti tausi kaseme
Alaafu akipika matembele
Mi mauti catch me na tembea
Nisha weka wazi wangu wa uzima'anaa
Nakupa na nafsi yangu basi designer
Saa usha ni toa po
Nashimama do
Mimi katoto yee
Ka nyirana doo
Wanjeee
Wanjeee
Wanjeeee
Wanjeee
Wanjeee
Wanjeeee
Ohh
LV na kupenda sana mim
Siwezi penya kuk'tekachini
Chini
Kuk'penda cost tena yingi Ma bebe
Maana
Vision na riddim na ndoto we na mim
Uki enda mbali baby zako dili
Kifupi mimi toto kwako bebe
Nisha weka wazi wangu wa uzima maana
Nakupa na nafsi yangu basi designer
Saa usha ni toa po
Na shimama do
Mimi katoto yee
Ka nyirana doo
Wanjeee
Wanjeee
Wanjeeee
Wanjeee
Wanjeee
Wanjeeee