Move On (feat. Critical King) Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2022
Lyrics
The boy is just in love
Shibaa
Unapigia ex wako mmm huyo sio ex yeah
Unamtexti exi wako mm huyo sio ex yeee
Si mfanye tu mrudiane
Mnatuchanganya kwa soko
Si mfanye tu mrudiane
Mnatuchanganya kwa soko
Mara hey hey hey there I hate you
And I don't wanna see you again
I hate you and I don't wanna see you
Kujia ngua zako kwa mlango
Sitaki story zako una mambo
We ni mtu fake siwezi kukudate
You messed me up you messed me up
Penzi lako mi sitaki nimesha move on
We nenda zako nimesha move on
Mi sitaki nimesha move on
We nenda zako nimesha move on
Penzi lako mi sitaki nimesha move on
We nenda zako nimesha move on
Mi sitaki nimesha move on
We nenda zako nimesha move on
Yani toto kwa nini ulinifanya ukwame kwa roho
Penzi lako moto by then lakini sai sina joto
Punde ukinitexti nahisi moyo unaenda mbio
I'm feeling like calling you nikwambie ndio
Na ego yangu ni ya pro max updated version
Ndio maana nikipick call yeh I'm not that person
Na namba yako nishablock it and unblock it
Coz I wanna talk to you
Na ukiniuliza mambo vipi mi sibongi
I don't wanna talk to you
Kujia ngua zako Kwa mlango
Sitaki story zako Una mambo
We ni mtu fake siwezi kukudate
You messed me up you messed me up
Penzi lako mi sitaki nimesha move on
We nenda zako nimesha move on
Mi sitaki nimesha move on
We nenda zako nimesha move on
Penzi lako mi sitaki nimesha move on
We nenda zako nimesha move on
Mi sitaki nimesha move on
We nenda zako nimesha move on