Nitarudi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
aaaaaah aaaaaah
onanana
likitoka limetoka aliwezi
rudi kinywani nenoo umbalii
ni tatizo
kitabu usijefunika ukaiweka
mashakani rohoo maishani tuijuayo leoo
kama unathamini mapenzi kuyalinda
sio shida nibebe kwa mikono
usunimwage kwa salaliii yeee
usimruhusu shetan haitibue furaha
utaoumia ni moyo kwetu iwe dosalii yeee
ooh nitakusa cha kufanya
chakula hata hamunacho sina
naekupenda wewe basi mpenzi
subiriiii
nitarudi nitarudi
nitarudii
kukuacha siweziii
nitarudi nitarudi
nitarudii
kukuacha siwezi
ni kweli nmeamini kupenda
kuna sababu niongezeee eeeh
nilipo ni mbali ila namisi vyako
kila hatamu mazoeaaa yeeee
uku si picha video yani nakesha
mchana usiku gizani nizipateee eeeeh
usije nishusha vyeo ukavunja sahaani
eti kisa ganzi umatemateeee yeaah
ah nitakusa cha kufanya
chakula hata hamunacho sina
naekupenda wewe basi mpenzi
subiriiii
nitarudi nitarudi
nitarudii
kukuacha siweziii
nitarudi nitarudi
nitarudii
kukuacha siweziii
crixtoni crixtoni
la la la la la la la la laaaaa
nakwaaa aaahaa aeeeeh aaaha
aaaheee
umenipa asaliiiiiiii ihiiiiiiii
aaah
hehehe eh nambari one zigy one