![MILT](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/25/cfa6a774fe6743f2bc9488b9b001dd2c_464_464.png)
MILT Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2022
Lyrics
MILT - Toranto Gang
...
Like this ×3
Toranto gang gang
[mbona inakuanga like this
mbona inakaa ka ni beef
mbona inakuanga like this
Lord please bless all of my G's] ×2
Hey ...
Mbona inakuanga like this,
Mbona inaletanga beef,
mashida ni mob nasoma ka list
maisha inakuanga so sad
Unajipatanga "Faded"
Africa tuko na hatred...
tunaishingi na Vengeance
na
ukiomoka unasema ka "Statement "
Story of mine I can't even tell it,Life imechange imekua undisputed ,
Came from scratching/came from nothing
All of my niggas I say shukran Blessing nikuona Mokoro is smiling ,
No more
any beef,
bless all of my G's
saa ingine ukutoanga raani.....ngori ni mob uku mtaani......
........"ooh Lord manze imekua so tuff nowadays huwezi ady omoka watu wanaskiliana wivu .... waah ... kwanza I remember I lost my bro at an young age manze, ni sawa people come and go siku moja itajipa tu... ju enyewe Mungu aki amua ni siku yako, "mmmmh".. lazima ijipe, na bado ikifika ni ngoma"......
Sijai tense na paintingi beat,naeza kubamba vi real ,naeza kupanga utii @Toranto ndo vibe,tunapendanga sike ju mboka ni hype ukiweza una ryme, piga hio like,share walai... music for life most of the time inakuanga so high .... bless our vibe×3
[mbona inakuanga like this
mbona inakaa ka ni beef
mbona inakuanga like this
Lord please bless all of my G's]×2
Mbona inakuanga like this ntafuta tu day nasuke your miss nipate kwa ndani ki slizz
mbona inakuanga like this pesa ni mingi akuna ku plead ,mahaters kidole Cha kati ni clean @Toranto ni si,mbogi ya wazing,banja Leo kesho tu link, yangu inakuanga like this ,cheki ni shada,kwani ni ngori ngori yangu inakuanga like this, ghetto ni shosho Yani bari... Yani bari..aah (@Sparrow ni me×2 bill na Rose)×2
big up ma mbogi majina @Loboko yetu inakuanga like this ...aaah.. mashada kwa wingi ,Yani kuparty ,yetu inakuanga like this,....big up Buju, Northstar,Doni,Jakande,Erico ....yaa yaa yaa...
[mbona inakuanga like this
mbona inakaa ka ni beef
mbona inakuanga like this
Lord please bless all of my G's]×4
aaah mbona inakuanga like this×2
aah mbona inakaa ka ni beef
aaah mbona inakuanga like this×2
@Toranto gang gang