Noma Lyrics
- Genre:Trap
- Year of Release:2022
Lyrics
Noma - Cougar Zybog
...
cheki..I go by the name cougar trc from nothing to something,...woorld
kama ni noma ni noma
kama ni noma ni noma
hii kitu nafanya daily
kama ni noma ni noma
kama ni noma ni noma
me sijali kama hunipendi
kama ni noma ni noma
najituma kila day
ngoma zangu hazidelay
ujikate kama unagaze
kama ni kiti sikupei
unaringa na hunibambi
kuwamada sio dhambi
fika bei sio kazi
soja kwenye kambi
nawakalia kitako
dem wao nina sample
noma kutoka kitambo
manager kwenye sacco
nephew mimi ni uncle
wivu weka kando
chifu niko hapo
usiku nina tako
kama ni noma ni noma
kama ni noma ni noma
hii kitu naifanya daily
kama ni noma ni noma
kama ni noma ni noma
mimi sijali kama hunipendi
kama ni noma ni noma
kama ni moma ni noma
kama ni moma ni noma