unga unga Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
unga unga - Bright
...
Wuwu
Mmmh Mmmh Mmmh Mmmh Mmmmh
Mwenye Kisu Kikali Ndio Hula Nyama Ya
Kweli Nimeamini
Me Msela Kapuku Sina Kitu Utanipendea
Nini
Sina Dola Tu Nina Chenji We Utanunua
Nini
Hata Mbele Za Watu Huna Aibu
Ukiongozana Na Mimi
Heti Mwili Unakutu Sijajua Kuoga Mie
Sipendezi Mpaka Sikukuu Vipi Nikufatilie
Kichwani Mabutu Ndio Levo Zangu Mie
Kwangu Dua La Kuku Wewe Mwewe Vp
Likupate
Sina Facebook Wala Twitter ( Aeeh )
Na Mbwembwe Za Insta
Wasafi Sijafika ( Aeeh )
Yangu Yakidole Sipigi Picha
Facebook Twitter ( Aeeh )
Na Mbwembwe Za Insta
Wasafi Sijafika ( Aeeh )
Yangu Yakidole Sipigi Picha Eeeh
Naunga Unga ( Unga Unga Mwana )
Naunga Unga ( Sielewi )
Naunga Unga ( Dili Zote Zimekwama )
Naunga Unga ( Sielewi )
Naunga Unga ( Unga Unga Mwana )
Naunga Unga ( Sielewi )
Naunga Unga ( Mishe Zote Zimekwama )
Naunga Unga ( Sielewi )
Kama Ridhiki Sitoi Mimi Tutapata
Ukiamini Hata Kwa Mkeka Tulale Chini
Na Wewe
Tupendane Kama Pacha Tule Amini
Kwa Mwengine Nitake Nini Nyonga Mkalia
Ini Ni Wewe
Mwenzako Sina Mahitaji Yako Wee
Nimekupenda We Nipende Tu
Nione Huruma Mtoto Wa Mwenzako
Wee
Nimekupenda We Nipende Tu
Sina Facebook Wala Twitter ( Aeeh )
Na Mbwembwe Za Insta ( Mmmmh )
Wasafi Sijafika ( Aeeh )
Yangu Yakidole Sipigi Picha ( Aaah )
Facebook Twitter ( Iyeee )
Na Mbwembwe Za Insta ( Mmmh )
Wasafi Sijafika ( Aeeh )
Yangu Yakidole Sipigi Picha ( Ayee )
Naunga Unga ( Unga Unga Mwana )
Naunga Unga ( Sielewi )
Naunga Unga ( Dili Zote Zimekwama )
Naunga Unga ( Sielewi )
Naunga Unga ( Unga Unga Mwana )
Naunga Unga ( Sielewi )
Naunga Unga ( Mishe Zote Zimekwama )
Naunga Unga ( Sielewi )
THE END
WRITE BY #TheNerd Rich 2608