Uvumilivu By Keysher Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Uvumilivu By Keysher - K Sher
...
uvumilivu umenishinda babe I love you
baby I love you baby I love you..sogea KAribu yangu nipe raha..nipe raha nipe raha...x2
aliotazamia bwana asokufaa..sikuhisi ungeingia moyoni..
badae muda kajitoka Jordan..mpaka home kajitupa kitandaani... uvumilivu umenishinda babe I love you sikukwambia nlidhani ulijuuaa...SMS from helper can I...?uuu baby boy...
chorus...
baby fikiri navosema kwamba baby I love you...nachoitaji pendo la Kati...ukikubali baby mimi ntapata rahaa...oooh my baby bwoi...usishangae kukwambia hiisia nlizo naazo...labda ukaniona kichache fikira hzo baby naomba wachana naaazo...oooh my baby boy .....
chorus
uvumilivu umekushidaje oooh my love
wakati Mimi nakupenda sana
wakati ulinishinda nliogopa ooh my...aaah...being like deam
kazi ya mola uwa Haina makosa
streather to cijer turn around ma'am u look so good