![Tunapewa Na Mungu](https://source.boomplaymusic.com/group2/M0C/7C/58/rBEeqF2a6jWAHtmcAACr6JSxkZc730.jpg)
Tunapewa Na Mungu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Tunapewa Na Mungu - Bony Mwaitege
...
Ooh mungu ni pendo
wapendwa mungu ni pendo
anatupenda sana ayaah
tuna kila sababu ya kumpenda bwana
kwa sababu yeye anatupenda sana
tuna kila sababu ya kumpenda bwana wa mabwana
kwa sababu yeye anatupenda sana
Tunapendwa,,tunapendwa*2
hebu jaribu kutafakari
Kama hewa tunayovuta tungelipia kama voucher
hebu jaribu kutafakari kama mungu angesema kila mkulima amwagilie mwenyewe shamba lake ingekuaje