
Tumekinaiana Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2017
Lyrics
Ohhhh….Ohhhhh….Ohhhhh
Lalaaaaaa..ahhhhhh..ohhhh..Hmmmm
Fimbo ya mbali haiui nyokaa haiui nyokaa haiui nyokaaaaa
Fimbo ya mbali haiui nyokaa haiui nyokaa haiui nyokaaaaa
Tumeyakubali yote yatayotufika ahhh
Tumeyakubali yote yatayotufika ahh
Hao mafedhuli ohh tumewaacha wahangaika
Ohh muweza jalali ahh motoni atawaweka
Hao mafedhuli ohhh mwisho wataadhirikaa
Muweza jalali ihh ahh motoni atawawekaaa
Uongo sio dili bali wanakashifika
Potelea mbali yetu yananeemeka
Uongo sio dili bali wanakashifika
Potelea mbali yetu yataneemeka yetuuu
Yetu yataneemeka yetu yetu yataneemeka
Ni vizuri wanadaamu watu kufahamiana
Wala halina dhalimu mtaposaidianaa
Ahh ni vizuri wanadamu watu kufahamianaa
Ohh wala halina dhalimu mnaposaidianaaa
Ni vyema kujikirimu kosa kurekebishana
We ni ndugu wa damu tuliyokinaianaa
Ni vyema kujikirimu kosa kurekebishana
Ohhh we ni ndugu wa damu tuliyokinaianaa
Sasa watatufahamu vipi tulivyoshibana
Hilo nnalifahamu mie mbona muungwana
Ahhh sasa watatufahamu vipi tulivyoshibana
Ohh hilo nnalifaham mie mbona muungwana
Tumekinaniana hatujali wanadamu
Tumeshashibana hamuwezi tudhulumu x2
Ahh mbona wataroga sana mm nawe damdam
Ahh mbona wataumwa sana mm nawe damdam x2
Ohhhh lalalalaaaa lalaaalalaaaaa
Ahhhhhhhhhhh anhhhh hmmmmm
Ubaya hauladhimu tunapokinaiana
Wala si kitu muhimu visasi kuekeanaaa x2
Tuwashinde wadhalimu yetu yazidi kufanaa
Mafanikio lazimu tunaporekebishana x2
Twakuomba ya karimu ww ndio maulanaa
Mkubwa wa wanadamu alokuzidi hakunaa x2
Udugu wetu udumu tuzidi kushikamana
Udugu udumu dawamu kama tulivyoshibana x 2
Washindwe kutudhulumu nyota zing’ae sana
Uungwana ni muhimu ubaya hauna maana x2
Tumekinaiana hatujali wanadamu
Tumeshashibana hamuwezi tudhulumu x 2
Mbona wataroga sana mm nawe damdam
Mbona wataumwa sana mm nawe damdam x2
Kila alie n kher dunian hakosi kufanikiwa
Kila alie n kher eh duniani hakosi kufanikiwa
Anaeipenda sharii kwa manani jua hatofanikiwa x 2
Yaraby salamaaa ahh salamaaa x 2
Twaomba salamaaa ahh salamaaa
Yaraby salamaa salamaaa
Ohh twaomba salamaaa
Yaraby salamaa ahhh salamaa
Kwako salamaaa rabby salamaa
Yaraby salamaaa ahh salamaa
Ohh salamaaa salamaa salamaa
Yaraby salamaa ahh salamaaa
Yaraby salamaaaa