![Mini Na Wewe](https://source.boomplaymusic.com/group2/M0C/7C/2A/rBEeM12ZffGANhTqAAECrhZyRG4817.jpg)
Mini Na Wewe Lyrics
- Genre:Holiday
- Year of Release:2019
Lyrics
Mini Na Wewe - Stara Thomas
...
nashindwa ata kudanganya
moyoni nilivyokupokea eh
faraja ulivoitimiza
hakuna ateweza fikia eh
hakika umeyakamilisha
yale yote niliyoyatafuta eh
na moyoni nmekukubalia
kwa lolote utalojisikia
kumbuka yale walosema na tuone sasa kama mwsho mtafiiika
kumbuka yale walosema na tuone sasa kama mwisho mtafika
aaaaeeee mimi na wewe tupendane mpaka siku ya mwsho adi watu washangae aya×3
pokea ninayo kueleza
moyoni yote uyafikishe
tabasamu unalonipatia
ilo ndilo linalonifikisha
wabaya usiwasikilize
wana lengo la kusambaratisha eeh
na mapenzi hayana muamala
rekebisha unapofikiria
kumbuka yale walosema na tuone sasa kama mwsho watafika×2
aeeeeee mimi na wewe tupendane mpaka siku ya mwsho adi watu washange aya ×6
by dyler