Yesu Akwita Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Yesu Akwita - Asante Acappella
...
Yesu akwita wewe
uje leo uje leo
kwani kusita akwita
unatanga upeo
Yesu akwita wewe
uje leo uje leo
kwani kusita akwita
unatanga upeo
Msikie
msikie Yesu
akwita
msikie
ujitoe moyo sasa
ujitoe moyo sasa
Waliochoka na wapumzike
uje leo uje leo
anakungoja uliye yote
uje leo uje leo
Msikie
msikie Yesu
akwita
msikie
ujitoe moyo sasa
ujitoe moyo sasa