Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2022

Lyrics

CHUMBA CHA NGOMA YAAAH

SANA

Yaah

SANA

Kili... Kili

Uzrrr

Kilimoney, Kilipesa

Kila siku tunasaka madough

Kilimoney, Kilipesa

Pile pile wan wamanyo ga form

Get the money, Get the pesa

Kila siku tunasaka madough

Get the money, Get the pesa

Haaa

Bado unasaka maganji

Kilimoney, Kilipesa

Weeeh

Unajua hali ni gani

Kilimoney, Kilipesa

Kila siku tunasaka maweng

Get the money, Get the pesa

Buda jua tuko kwa roadie

Get the money, Get the pesa

Kila siku tunasaka the.. aah.. mulla

Kilimoney, Kilipesa

Ehhh...Tunasaka bana

Kilimoney Kilipesa

SANA, SANA, SANA

Get the money, Get the pesa

Kila siku tunasaka madough

Get the money, Get the pesa

Pile pile wan wamanyo ga form


Pesa otas Pesa otas man.. MULLA, MULLA

J Mulla kwenye tune mayne.. JUICEE, JUICEE

Hot or cold bado Juicee Mann.. HOT or COLD

CCN they my crew mayne.. CHUMBA CHA NGOMA

Ah haa.. Niko roadie napiga missioni flani

Kuna Mbogi imesunda mali kejani

Ile price unataka haiwezekani

What a time to be the boss in Kilimani

Ni sha tuma juug na nduthi

Tenje tatu nshachapiwa sasa who this?

Hii game haitaki mapenzi ya Cupid

Watume ganji ndo naeaza wasort ma new shhiit


Nairobi tunasaka maganji hadi wasee wanabreak over text

Mbleina alitupa ma letter kwa mao alikuwa anatafuta value ya X

Usipojituma utajuaje next?

Mziki ndio kitu itafanya niflex

Setting ishapigwa kitu imebaki finesse

Umeskia zile vitu wanafanya for money? Huh

Story za ganji ni horror gizani

Kutokwa si lazima safi

The band itafanya nichizi

Wacha nishike ma mita waseme huyu kijana ni mwizi

Kumbe mi nacheza chini

Kuna wasee hawataki kucheki ukipita G

Rada ni chafu already we bora usicome clean

Kutoka kanisa hadi kwa gang nani hataki maganji?

Biz ya gover na ya mtaani nani haikosi mabandi?

Ma-lane kadhaa umeona wapi parking?


Kilimoney, Kilipesa

Pile pile wan wamanyo ga form

Kilimoney, Kilipesa

Kila siku tunasaka madough

Get the money, Get the pesa

I'm getting money in Kilimani

Get the money, Get the pesa

SANA, SANA, SANA

Kilimoney, Kilipesa

Ehh Tunasaka bana

Kilimoney, Kilipesa

I'm getting money in Kilimani

Get the money, Get the pesa

I'm getting money in Kilimani

Get the money, Get the pesa

I'm getting money in Kilimani Yeah

I'm getting money in Kilimani

I'm getting money in Kilimani

I'm getting money in Kilimani Yeah

I'm getting money in Kilimani

I'm getting money...

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          Feedback on resetting password
          * It may take a longer time

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status