Luv Me Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2022
Lyrics
Luv Me - GabroTz
...
INTRO
mi need to linking In
tuishi leo na kesho mwanzo mwisho win win
awe wa kwangu mimi anijali anithamini
ata ukivuma upepo sisi tuwepo tu penzini
mh
VERSE 1
tumeumbiwa kupenda na upendo unatenda ndani ya mwili Huu
ndio kusema nakupenda hey baby Buu
nimewaza nimekonda kisa wewe tu
nimechoka kuuguza vidonda ifanye siku kuu
leo leo hii usijifanye hausikii
karibu tuungane kama Aika_Nahreel
wala sikimbii niko nawe mpaka hii
dakika ya tuzikane itapotimu dhahiri
TIIIH
kama Dullayo naumia roho
na kwako nishakuwa toyo sibanduki ng'o
kutwa na Millard Ayo kujua how U go
pita kwenye kila mitandao nione sura yo
sio kwamba sina mavumba ila kuonga ndo sijapenda
karibu uwe mchumba uone unyumba ntakavo ujenga
kwanza ntaanza na mimba katumbo mbwi uweze surrender
kisha ntakupa majumba pesa magari ufanye unavopenda
CHORUS
LOVE ME
baby just love me
LOVE ME
baby just love me
LOVE ME
baby just love me
LOVE ME
baby just love me
VERSE 2
ati ushavishwa pete ya ndoa then what hey
ebu acha kujishongonoa nipe nafasi Thei
au unakuwa na wasi wasi waona sina pay
achana nao watia doa mi ni mfuasi sahihi
...mfuasi sahihi
unachotaka utapata
ata ukienda chini ya ardhi mi nitakufata
usinione simple simple sholi niko smarter
popote pale ulipo nipo na nimewaka data
ah na nina true love true love
nawe ndiye naekupenda wapi ntaenda jipe shavu yo
come on be a spender to all I have
mambo yawege bomba ukamilishe wangu ubavu
cheza nami imba nami
nipe mapenzi nikupe nanii
wengine walaghai walah hawafai
waogope kama ugonjwa wa COVID-19
ah ivi unajua mamii
habari ni hii
kijana keshafall in love into U set him free
CHORUS
LOVE ME
baby just love me
LOVE ME
baby just love me
LOVE ME
baby just love me
LOVE ME
baby just love me
OUTRO
wanna see you just love me
baby pliiiz love me
love me ye ye ye
Yeeh