
Nipepete Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
YEYEEEE
Njo nipepete
Njo nipepete
Njo nipepete
(PE)
Njo nipepete
Njo nipepete
Njo nipepete (yeeee)
Ye ni mzuri Kaa mdolly
Nipe morning na glory
Ajishuku sii impolie
(Oyeeeee)
Ye ni mzuri Kaa mdolly
Nipe morning na glory
Ajishuku sii impolie
(Oyeyeyeyeyeeeeeee)
Sijui ni juju
Kwangu lako penzi moto
We ndio my boo boo
Kweli mtoto wee kiboko
Girl twende zetu chumbani
Nipige nyundo kwenye mzumari
Mtoto wewe ni mtrue mommy
Penzi tele kama tsunami
Njo nipepete
Njo nipepete
Njo nipepete
(PE)
Njo nipepete
Njo nipepete
Njo nipepete (yeeee)
Ye ni mzuri Kaa mdolly
Nipe morning na glory
Ajishuku sii impolie
(Oyeeeee)
Ye ni mzuri Kaa mdolly
Nipe morning na glory
Ajishuku sii impolie
(Oyeyeyeyeyeeeeeee)
Njo nipepete
Njo nipepete
Njo nipepete
(PE)
Njo nipepete
Njo nipepete
(Ayayaaah)
Njo basi uni tekenye
Na penzi nileweshe Nipe penye
Ni maajabu chinekene
Nacheza na rhumba na sebene
Mtoto mzuri sana
Nipe basi mwana
Usiwe kwangu laana
Napita njia zile zile
Nipe izo vitu vile vile
Nahisi ubao Nile Nile
Mtoto tucheze kide kid
Yeah yeah yeah
Napita njia zile zile
Nipe izo vitu vile vile
Nahisi ubao Nile Nile
Mtoto tucheze kide kid
Yeah yeah yeah
Njo nipepete
Njo nipepete
Njo nipepete
(PE)
Njo nipepete
Njo nipepete
Njo nipepete
(yeeee)
Ye ni mzuri Kaa mdolly
Nipe morning na glory
Ajishuku sii impolie
(Oyeeeee)
Ye ni mzuri Kaa mdolly
Nipe morning na glory
Ajishuku sii impolie
(Oyeyeyeyeyeeeeeee)
Njo nipepete
Njo nipepete
Njo nipepete
(PE)
Njo nipepete
Njo nipepete
Njo nipepete
(yeeee)
Kamix Lizer