Karibou Yangu Lyrics
- Genre:Classical
- Year of Release:2019
Lyrics
Karibou Yangu - Tshala Muana
...
sesa sesa ooh
sesa sesa ooh
sesa sesa ooh
sesa sesa ooh
unihurumie hurumie,
nakulilia unipeee,
unipeleke kwa mama,
atatupatia Mali,
tufunge ooh ndoa ya lote,
mpenzi ooh Mimi na wewe,
ndoa ooh ndoa ya lote,
karibu ooh karibu yangu.
sesa sesa ooh sesa ooh
usinitese moyoni,
naomba usinitese
unipeleke kwa baba,
atatupatia Mali,
tufunge ooh ndoa ya lote,
mpenzi ooh Mimi na wewe,
ndoa ooh ndoa ya lote,
karibu ooh, karibu yangu.
unihurumie hurumie,
nakulilia unipe,
unipeleke kwa mama,
atatupatia Mali,
tufunge ooh ndoa ya lote,
mpenzi ooh Mimi na wewe,
ndoa ooh ndoa ya lote
karibu ooh karibu yangu.
usinitese moyoni,
naomba usinitese,
unipeleke kwa baba,
atatupatia Mali,
tufunge ooh ndoa ya lote,
mpenzi ooh Mimi na wewe,
ndoa ooh ndoa ya lote,
karibu ooh karibu yangu.
unihurumie hurumie, (ooh sesa)
nakulilia unipe (ooh sesa)
unipeleke kwa mama,
atatupatia Mali,
tufunge ooh ndoa ya lote (ooh sesa)
mpenzi ooh Mimi na wewe, (ooh sesa)
ndoa ooh ndoa ya lote (ooh sesa)
karibu ooh karibu yangu (ooh sesa)
usinitese moyoni (ooh sesa)
naomba usinitese (ooh sesa)
unipeleke kwa baba,
atatupatia Mali,
tufunge ooh ndoa ya lote (ooh sesa)
mpenzi ooh Mimi na wewe (ooh sesa)
ndoa ooh ndoa ya lote (ooh sesa)
karibu ooh karibu yangu (ooh sesa)
balisema mingi, balisema (mingi)
ooh mingi (mingi) oooooh mingi (mingi),
utakufa bure utakufa (bure)
ooh bure (bure), oooooh bure (bure).
balisema mingi, balisema (mingi)
ooh mingi (mingi), oooooh mingi (mingi),
utakufa bure, utakufa (bure)
ooh bure (bure), oooooh bure (bure).
balisema mingi, balisema (mingi)
ooh sema (mingi) oooooh mingi (mingi),
utakufa bure utakufa (bure)
ooh bure (bure), oooooh bure (bure).