
Macheda Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
Lyrics
Macheda - Kiboko
...
Ee,
Si nilisema wanyonge ni wanyonge wazito ni wazito,
Hii boomba inaitwa macheda,
Inaleta pesa beba beba,
Zikishika tingisha mabega,
Paka mablube, njugu na kazesta,
Furi furi jazwa na maayela,
Fast lane naponyoka kama Senna,
Sema vipi kama wewe ni member,
Mbogi nzima hakuna mlesser.
Benzo na mabima sikosi macheda,
Jeep, Rover bado nakula mrenda.
Na wakidhani si ni ma-underdogs,
Cheese bado ni Parmesan,
Landi ni Afrika 254 commander sir,
Mbuzi gwara mnazi za Costo za Pwani yea,
Neti noma touch the clouds,
Powerbanks siwezi run out,
Streaming, commenting da!
Constantly posting ya wasupa, thayo na butt,
Shelf na rack zinabounce zimefura zinaweza burst,
Si Nagasaki ni mafuta,
Twitter, FB, Snapchat, TG, WhatsApp.
Benzo na mabima sikosi macheda,
Jeep, Rover bado nakula mrenda.
Macheda!
All the things I got is your desire,
From the bottom I had nothing prior,
The ghetto hot everyday’s a fryer,
Still could put nothing on the fire,
But now when they see they bow,
I made my mama proud coz this is the sound around town,
Play it loud!
The haters r so down,
I elevate they frown,
Never been lost but lounged,
Living legend watch my crown.
Hii boomba inaitwa macheda,
Inaleta pesa beba beba,
Zikishika tingisha mabega.
Benzo na mabima sikosi macheda,
Jeep, Rover bado nakula mrenda.