Naogopa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Naogopa - ERICK GIFT
...
Phonse on the beat fire
Kwetu situnasherehe
Mapenzi, sio makasiriko mmmh
Kwetu ni fuhara tele
Maana mapenzi, sio makasiriko aah aah
Hata kama tukishindia tembele
Ooh! My love
Baba mwenye nyumba kodi apige kelele
Ooh! My love
Hata kama tunapanda dala dala
Mi nawe my love
Eti chetu chumba kina mavyombo tele
Inahusu?
Wala sidhani kama hunipendi
Ila nawaza usipokuwepo ntaishije eeh
Mwenzako najua kamaa unanipenda
Umeniweka moyoni
Ila nawaza usipokuwepo ntaishije
Ndo ninaogopa (aah)
Aah aah aaaah naogopa
Aah aah aaaah naogopa
Aah aah aaaah naogopa
Hivi hushangai napendwa
Ila sura bado inakosa nuru
Yani najiona sipo huru
Napagawaa
Siku sinavyozidi kwenda
Najiona kabisa nitakufuru
Maana naishi ka-kunguru
Kutwa kuzificha mbawaa
Ridhiki yangu a papatu papatu
Mara nilipe vikopa kopatu
Vipi ukija kutamani vya watu
Mimi si utaniacha
Ukiachilia mbali mashindao
Wanaonizidi pesa muonekano
Si lazima nikutajie mifano
Niahidi kama utayaweza mapambano
Icho ndo kinanipa mawazo
Nikikupost biashara matangazo
Sintoweza kukuechunga
Mbele za wenye mipunga
Aah aah aah aaaah
Aah aah aaaah naogopa
Aah aah aaaah naogopa
Aah aah aaaah naogopa
Aah aah aaaah naogopa
Phonse on the beat fire