Kula Na Watu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Kula Na Watu - mackdzo
...
mackdizzo....
first time mi kukuja Nairobi walai kila mtu akua ananitaka
sai nikipita mack ata salamu
Nairobi ilinifunza kuka nawatu
ju rafiki pia anaeza kua adui yako
akutaki
na akikuuja kwako anadai
"mack pia Mi nakuombea akitu upate"
maombi Mi hua sikatai mi husema Asante
watu watu watu
Nairobi wekula tu nawatu
watu watu
Nairobi wekula tu nawatu
First club nipate naivasha
Mi u role na madem wasupa kama kina natasha
Sikunywangi pombe nipate nikikunywa fanta
Leo sita panda boda ju kuna rasha rasha
Nakuna dem hapa ameanza kuni bamba
Leo lazima nitapata numba
Pesa ziko Leo safari niza uba
Ili kejani tufike haraka
Akuna kulala nikukesha paka asubui
Siwezi atent meeting we bonga na Sara
Nitachelewa ju Mimi hufanya kazi sahara
Lakini mbona hawa watu hunibeba ufala
Ju mtoi kwa kilas nasikia analala
Na Wao kazi nikuitisha mshahara
Hi ninai wasinipeleke hasara
Nakwa mfuko nimebaki tu naiyo salasia
Nairobi wekula tu nawatu
watu watu
Nairobi wekula tu nawatu
hello mam najua nimenyamaza sana
hi mwezi ijaka sawa
nikilipwa mam nitakutumia kakitu
nivenye phoman pesa zetu amegwamia
na ukidai anaday ""fanya KAZI ama nikufute""
inabidi nitulie ju Sina hadi yamafuta
mam hi ninairobi
iyo usijali mam mi mwanao nakumbuka sana
na soon pia na come home
""Mwanangu usijali kilakitu itakua sawa
watu watu watu
Nairobi wekula tu nawatu
watu watu
Nairobi wekula tu nawatu