Ushaniweza Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
Lyrics
Ushaniweza - Richi3
...
Kwenye Bed kana ngojea
Nkikashika kana legea
Hilo shape ame bobea
Mi nataka unipe baby
Mi nakuomba we unanchomolea
Kamoyo kangu unakaonea (aya)
Yani kabisa na nyongonyea
Mi nataka unipe baby
Unanipa raha baby
How your body shaking
You intoxicate me
Unanipa raha baby
How your body shaking Yeeeh
Ushauweza ushanchanganya
Moyo wangu danadana oooh X2
Aaaah ya ya ya
Oooh ushaniweza oooh
Aaaaah ya ya ya
Oooh ushaniweza oooh
Aaaaah ya ya ya
Oooh ushaniweza oooh
Aaaaah ya ya ya
Oooh ushaniweza oooh
Ushanifanya mpaka nakonda aah aah aaaah
Kwa mwengine siwezi mwenda aah aaah aaah
Kama pingu mi ntafunga nawe
Wanataka niachane nawe eeeh
Hatakama wakikupiga mawe
Mi siwezi kuachana nawe eeeh
Kama hadithi utam kolea
(Ayayaya)
Ushankolea aaya
Kama pipi usha nnogea
(Ayayaya)
Usha nnogea aaaya
Ushauweza ushanchanganya
Moyo wangu danadana oooh X2
Aaaah ya ya ya ( aaah yaya)
Oooh ushaniweza oooh ( oooh ushaniweza)
Aaaaah ya ya ya ( aaah yaya)
Oooh ushaniweza oooh ( oooh ushaniweza)
Aaaaah ya ya ya ( mmmh yaya)
Oooh ushaniweza oooh ( oooh ushaniweza)
Aaaaah ya ya ya ( aaah yaaa)
Oooh ushaniweza oooh
Aaaah ya ya ya
Oooh ushaniweza oooh
Aaaaah ya ya ya
Oooh ushaniweza aaah