![Freestyle](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/05/ffad14a0ad904bf3941dac759b79dc3f_464_464.png)
Freestyle Lyrics
- Genre:Trap
- Year of Release:2022
Lyrics
Freestyle - MASTAR VK
...
Muziki naipigia tizi
Natema nika nimechizi
Misuli naikulia ndizi
Me niko mboka na we usingizi
Ngeli ya sasa ni genge
Wamatha walisare vitenge
Kanairo ni jiji ya nyege
Hatutambui bibi ya wenyewe
Kuomoka ni ya wenye vitambi
Na mimba ni ya wenye wakona manduthi
Boxer imesukwa kinyambi
Chakula tamu ni ya “wife”
Lakini bwanako ana njaa
Anakula mbaka msichana wa kazi
Kwa keja nipate na WI-FI
Mamovie sipendi ma sci-fi
Watoi nawapea higfive
Mahater ni ndole nikisema bye-bye
Huwezi nipata na boe-tie
Ma Shadda ziuniweka so high
Kitu ni nono ngeus alicheki
Kwanza akanipa the “oh my”
Ju pongi si uchapanga tai-chi
Huyu nguna anacheza na baiki
Makiss zikuje na biting
Ferrari situmi lakini ukiniona kwa rodi nakujia my miss
Unachochwa na luku za IG
Lakini si umeomba mavazi
Kijana amechosha wazazi
Ady siku izi anauzanga mabangi
Me nguna alipatanga hazii
Niliwacha kukua kamanzi
Ball alipata ya kale kaboy alikua anakuja na ganji