![RIOT DC • NOPAIN](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/10/3f455bf2f858447f871d99b621da2db7_464_464.jpg)
RIOT DC • NOPAIN Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2022
Lyrics
Ayo Lizzer
911
Nashkuru mungu kila nikiamka na
Dunia imeja mapanda shuka na
Ukipata ukikosa shkuru na
Ukipata ukikosa soma
Walinisema ju nimekosa na wakikosa
Hawataki semwa
Wakanitema ju nime sota na wakisota
Awataki Temwa
Sura kinyukta ngetate kidogo
Jua ina shuka kipato kidogo
Sima kubwa mboga kidogo
Yakuchapa unalia kama mtoto mdogo
Nopain nooo nopain nooo nopain noo yatapita
Nopain nooo nopain nooo nopain noo yataa
Nopain nooo nopain nooo nopain noo yatapita
Nopain nooo nopain nooo nopain noo yata mama
Semwa na najua Niko chini ya jua
Najibiduwa bidua najikakamua Mua
Ushoga staki
Maisha ni magumu stress kama nini
Kweli nimekosa Ewe mola nisamhe
Nipe nguvu na mawazo Yani daily ni pambane nikishuka
Nipandishe nikianguka niokote
Mabaya asinifike Baya lake limrudie
Sura kinyukta ngetate kidogo
Jua ina shuka kipato kidogo
Sima kubwa mboga kidogo
Yakuchapa unalia kama mtoto mdogo
Eeeeh!
Nopain nooo nopain nooo nopain noo yatapita
Nopain nooo nopain nooo nopain noo yataa
Nopain nooo nopain nooo nopain noo yatapita
Nopain nooo nopain nooo nopain noo yata mama
Walinisema ju nimekosa na wakikosa awataki sema
Wakanitema ju nimesota na wakisota awataki semwa