
Apucha ft. Masauti Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Apucha ft. Masauti - Mellbaron
...
Mi sipendi Dume mabisho,
Napenda zile classy na machumchum
Dume Ngati , kaa mbali nami
Let the money talk, mi nataka tuzwa,
Mosmos mi sitaki gozgoz
Missed calls , yah better know your limit
A taste of mah touch n mah lips
Doesn't mean a thing,
Blame it on the Chingriii
Apucha x3 make you want me
A touchi x2 I make u touch mah body
Your money x2 then I go take your money
Hela zako zanikosha !!
Geng geng ishachafua
Mi ni classy so ushajua
Si ni party na mabazenga
Hey MR
We turn it on the dance floor. (x2)
Onana na na na! Masauti , Kenyan boy yeiyeeee aaaaah!
Napenda pale unaponikonyeza ,
Umenishika mwenzako umenitatiza naa,
Maungo pale yanapotingika , unanivuta mwenzako umeshaniteka,
Hapa kwangu pesa si shida nitazimwaga na hutamaliza, (ahaaaa)
We agiza unachokitaka , na usijali bili ntalipa,
(Ukichekecha)
Unanimada mi kiania (x2)
(Unavyolegeza)
Unanikoroga kiaina (x2)
(Masauti)
Apucha tingisha zungusha kibindoni,
Cha ukucha hakini chomi mdomoni,
Apucha , Apucha zunguska kibindoni ,kibindoni iyeeeeeee
Chorus
Geng geng ishachafua
Mi ni classy so ushajua
Si ni party na mabazenga
Hey MR
We turn it on the dance floor. (x2)
(Mell)
Apucha x3 make you want me
A touchi x2 I make u touch mah body
Your money x2 then I go take your money
(Masauti)
Apucha tingisha zungusha kibindoni,
Cha ukucha hakini chomi mdomoni,
Apucha , Apucha zungusha kibindoni ,kibindoni iyeeeeeee