![Yahwe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/31/1440d47e50ea4e16a949b3eec277bf4fH3000W3000_464_464.jpg)
Yahwe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Yahwe
Yahwe
Yahwe
Yahwe
Oh yahwe
Oh yahwe
Oh yahwe
Twaja mbele zako baba
Utukufu uichukue
Twainua Jina lako baba
Milele na milele
Twaja mbele zako baba
Utukufu uichukue
Twainua Jina lako baba
Milele na milele
We Ni mwanzo
Tena mwisho
Milele, Yahwe
We Ni mfale
Wa majeshi
Utawale, yahwe
Hakuna, mwingine
Kama wewe
Yahwe
We Ni alpha
Na omega
Milele, yahwe
Ni wewe, milele
Na milele
Yahwe
Wakuabudiwa
Wakuheshimiwa
Ni wewe, yahwe
Niongoze, Unilinde
Milele, yahwe
Wakuanza, Kumaliza
Milele, yahwe
Nainama, mbele zako
Nisamehe, yahwe
Sifa zote, utukufu
Ni zako, yahwe
Nibebe, usiniache
Usinipite, yahwe
Ni wewe, nahitaji
Mwaminifu, yahwe
Ni wewe, Ni wewe
Ni wewe, yahwe
Ni wewe, Ni wewe
Ni wewe, yahwe
Ni wewe, Ni wewe
Milele, yahwe
Wakwanza, Tena mwisho
Ni wewe yahwe
Nainama mbele zako
Nisamehe yahwe
Niongoze, Unilinde
Ni wewe, yahwe