![VIXEN](https://source.boomplaymusic.com/group2/M0B/59/62/rBEeqF1-fj6AUqTZAACOidFedKE780.jpg)
VIXEN Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
VIXEN - wambui katee
...
Niko area naeza kupitia,
mistari Kali nitakupigia......come through
ngoma yako niliiskia kwa show ya jals akikusifia.......come through
nikushow my room . just us two
kavedio tuta shoot I wanna be your vixen
tufanye majanga bendua haribu kitanda
kavedio kashike .....'kashike'
tutese Uganda,rwanda na pia Canada
ngoma ishikee kwa klabu na pia na pia tuvute mashada mafans na wa wikee niweke kwa show Walai nitakubamba
you're my sweetest tabuuu.
ndio maana nataka ukam twende shooot
you're my sweetest tabuuu...na ndio maana nataka ukam twende shooot
Kam twende,Kam twende oka.
Kam twende Kam twende oka
Kam twende ,Kam twende oka
Kam twende ,Kam twende oka
(Kam twende Kam twende Kam twende oka)x 3
Kam twende eee
ukikubali nataka tufanye party
one for the set Ni Mimi na wee
wakileta utiaji mi niko na wee
aaaaah
for you...I can licence a gun
sitawaza Mara mbili....tu fire the gun
fire the gun.
kichwa rankankankan
work has begun
rampampapam
tuna speak in tongues
you're my sweetest tabuuu.
ndio maana nataka ukam twende shooot
you're my sweetest tabuuu...na ndio maana nataka ukam twende shooot
Kam twende,Kam twende oka.
Kam twende Kam twende oka
Kam twende ,Kam twende oka
Kam twende ,Kam twende oka
(Kam twende Kam twende Kam twende oka)x 3
Kam twende eee
(niite nitatokea
niite nitatokea ah
niite nitatokea
najua njia sitapotea ah)×2
you're my sweetest tabuuu.
ndio maana nataka ukam twende shooot
you're my sweetest tabuuu...na ndio maana nataka ukam twende shooot
Kam twende,Kam twende oka.
Kam twende Kam twende oka
Kam twende ,Kam twende oka
Kam twende ,Kam twende oka
(Kam twende Kam twende Kam twende oka)x 3
Kam twende eee