JIPEPEE Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
JIPEPEE - IKRAAH TZ
...
eeh aah eeh aah
Ikraah Tz
maiko on the beats
Hapa mpaka kuche tucheze kileooo
ngoma za oswazi wachukue videooo
kwanza ringa ringa ukicheza kwanza ringa
Aaata ukionaje
kileso kileso jipepee
instrumental
tunacheza ukuti ukuti kuti
wanatoa sarutiii saruti ruti
ile michezo ya kidali poo yakidalipoo
ile michezo yakitoto cheza usione sooo
Aaata ukionaje
kileso kileso jipepee
instrumental
kwanza ringa ringa ukicheza kwanza ringa
oooh maikoooo