
Rockstar Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Utaamua wewe kunipenda au kunchukia
Me am getting money full pockets natulia
Tight with my fam wana wanao niamia
Mama lazima aishi safi nlishaweka nia
Nlishafeli sana na haiwezi jirudia
Sisahau nlipotoka chocho nlizopitia
Nafasi nlizikosa na siwezi kujutia
Afu sikuchoka nlikaza ingawa naumia
Ikipangwa imepangwa huwezi nizuia
Ntakula Matunda ya jasho langu unashuhudia
Unataka nifeli okay subiria
Mi nazigonga gear afu nakanyagia
Najua kupendaa sijui kuchukia
Nkisamehe nasahau siwezi hata kukumbushia
Na pisi za kwenda ndo nnazokamia
Wenye roho safi kiuno nyigu shape gunia
RIP waliotangulia sisi tunafuatia
Hata uwe nazo nyingi lazima upite ile njia
Yatatimia maandiko hakuna atayebakia
We live once live life we furahia
Siku hizi tunaride tunaroll mtaa kwa mtaa
Shida zipo nyingi ila bado si tunang'aa
Mungu amebless nikiweka vinakaa
Afu macho kwenye pay siwezi shindana kuvaa
Nmeshakua mkubwa nacheza na saa
Usiforce kupendwa muheshimu aliyekukataa
Ukiforce mapenzi mbona utachakaa
Wapo waliotulia na wakaachwa kwenye mataa
Never caught unfresh that's rule number one
Nshakuaga rasta so ukiniona what a gwan
That real love mi ndo kitu natamani (natamani)
(Mmmmmmh)
Mnyamwezi nae-rap I do it for fun
Pesa ikija naichukua sitaki utani
Mama inabidi aishi vizuri nyumbani
Afu inabidi ninga'e nkipita mtaani
Confidence juu zaidi ya tony montana
Nazifunika njia zao ila bado wanabana
Matatizo yanazidi pesa ikikosekana
Unaweza badilisha usiku ukawa mchana
Nshapitia mengi na mengi nshaona
Nshapitia misala nkasema siwezi kupona
Moyoni maumivu makali roho inachoma
(Yeah yeah)
Ukidiss siongei sibishani ukikataa
Haina kufeli nafanya kweli balaa juu ya balaa
Nataka niishi safi and be a rockstar
Rockstar