Siezi Miss Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Welcome to measure your height, weight- welcome
Hello...is she...I know...I know...you know-mmmmh
(UZRR)
Unacome? wee nibeep
We ni tip, toe ni tip
Utadish? itisha chips
Au ni sembe? itisha fish
Cheki drip drip drip- Cheki leak
Cheki utrip
Cheki uslip
Ka ni mi, siezi diss
Hawk Eye
Siezi...Siezi...Siezi...Siezi...Miss
Kama iko chini unasema iko chini
Na kama iko juu unakubali kamili
Na inakubamba inua viganja
Mi nawaroga na mi si mganga
Kama ni picha washa flash
Piga simu wacha flash
Ka ni track mi ni flash
Cheki vile mi nadash
Wee jijazie ni dash dash
Kama malipo ni cash cash
Kama ni tire ni puff pass
Kama ni ndege ni fast class
Ficha macho piga sun-glass
Aminia tu makaka
Dry spell? Mi si cactus
Leta vita ubaki carcass
Unacome? (Unacome) Wee nibeep (Wee nibeep)
We nitip (We nitip), toe nitip (toe nitip)
Utadish? (Utadish) Itisha chips
Au ni sembe? (sembe, sembe) Itisha fish
Cheki drip drip drip, Cheki leak (Cheki leak)
Cheki utrip (Cheki utrip)
Cheki uslip (Cheki uslip)
Ka ni mi (ka ni mi)
Siezi diss (Siezi, Siezi)
Hawk Eye (Hawk Eye)
Siezi...Siezi...Siezi...Siezi...Miss
Moja mbili piga roundi mjini
Flow sinister wanadhani ni jini
Unabonga chafu kunihusu mimi
Na mi nikifika unaenda mitini
Ule shorty ni mpretty
Wangari Maathai anapendanga miti
Mi naeza taka lakini si bibi
Na kama ni bibi si wangu lakini
Hizi level haufiki buda
Wee ni Moses hii ni Caanan
Ni wangapi kama mimi buda
Piga hesabu ni ka none
Hakuna area grey buda
Black and white kama panda
Ka Wawesh mi mjanja
Mama hakulea danda
Unacome? (Unacome) Wee nibeep (Wee nibeep)
We nitip (We nitip), toe nitip (toe nitip)
Utadish? (Utadish) Itisha chips (Itisha Chips)
Au ni sembe? (sembe, sembe) Itisha fish (Itisha Fish)
Cheki drip drip drip, Cheki leak (Cheki leak)
Cheki utrip (Cheki utrip)
Cheki uslip (Cheki uslip)
Ka ni mi (ka ni mi)
Siezi diss (Siezi, Siezi)
Hawk Eye (Hawk Eye)
Siezi...Siezi...Siezi...Siezi...Siezi miss