Sawa Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
Lyrics
Sawa - G Smart
...
INTRO
mmmh! mmmh!....
(switch levels)
aaaah! aaaaah!...
mmmh! mmmmmmh!..
(Zah boe)
VERSE 1
Ulinidanganya tui la nazi maziwa nami nikadanganyika,
Ukaapa katu huto nikimbia kwenye shida nami nikaridhika (nikaridhikaa!.)
Mashoga zako wamekubadili tabia nami unaniona kama kimrija,
majukumu yote ya nyumbani umenisusia kweli mama roho inaniuma(inaniumaa!.)
Sijui nani ii ii? alifanya uondoke nyumbani,
sijui nani ii ii? alikurushia jini kichwani,
BRIDGE
unajikuta star,
unaona raha,
kuruka viwanja leo Masaki Sinza
Kutwa unashinda bar,
kurudi giza,
Kweli mama moyo wangu unaumiza
CHORUS
Ila sawa, sawa, sawa, sawaa,
sawa, sawa, sawa, sawaa
VERSE 2
kama kukupenda nilikupenda wewe tu kwingine sikuthubutu,
au kisu changu kilikuwa butu,
ulishindwa vumilia ninoe kutu
idadi ya mawazo ilinisonga,
mpaka nkatamani kujinyonga,
ila imani ya mungu ikapinga,
ikasema Gee no sio sawa,
(sio sawaa, sio sawaa aah
sio sawaa, sio sawaa aah,
sio sawaa, yani tu ayah! anhaa ah, sio sawaa!)
BRIDGE
unajikuta star,
una ona raha,
kuruka viwanja leo Masaki Sinza
kutwa una shinda bar,
kurudi giza,
kweli mama moyo wangu unaumiza
CHORUS
ila,
sawa (yani tu sawaa!),sawa, sawa(nitapata dawaa!), sawa, sawa(mama we mbaya), sawa
sawa(yaani tu sawaaa!)
OUTRO
ninavyo liaa, ninavyo lalamika unaona rahaaa (yani tu sawaa!)
(Thaks ashix for this one, G smart again)