Sio Mbaya Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2022
Lyrics
Its yr Afro Bahati
Afro Bahati!
Easy!
Unasema sikuwezi...
Kwenye mapenzi labda nitakuzingua
Sikunyimi usingiz hisia ganzi bure najisumbua!
Unasema sikuwezi...
Kwenye mapenzi labda nitakuzingua
Sikunyimi usingiz hisia ganzi bure najisumbua!
Mwaya nimekubali mapenzi hayalazimishwi
Sio mbaya tena afadhali nikuache nisikutie nuksi
Lla hapa limebaki jina mawazo yote yanaishi bari
Neapusha mbawa nibaki mzima furaha yako nisiitie dosari
Lla hapa limebaki jina mawazo yote yanaishi bari
Neapusha mbawa nibaki mzima furaha yako nisiitie dosari
Nimekubali
Sio mbaya tuachane naomba uniache wewe
Haikua zali
Sio mbaya tuachane naomba uniache wewe
Nimekubali
Sio mbaya tuachane naomba uniache wewe
Haikua zali
Sio mbaya tuachane naomba uniache wewe
Nimekubali
Sio mbaya tuachane naomba uniache wewe
Niliyapalilia mapenzi kwenye jua mbalamwezi
Kumbe hasira za mkizi nakupa burudani mvuvi
Nishachelewa mzizi ushalibeba shina nitakuambia nini
Nishachelewa kiherehere changu koma kuna vya watu mjini
Basi moyo koma nasema koma na hili utazoea
Usije nipa homa moyo koma haya mengine ungepotezea
Basi moyo koma nasema koma na hili utazoea
Usije nipa homa moyo koma haya mengine ungepotezea
Lakini mwaya nimekubali mapenzi hayalazimishwi
Sio mbaya tena afadhali nikuache nisikutie nuksi
Nimekubali
Sio mbaya tuachane naomba uniache wewe
Haikua zali
Sio mbaya tuachane naomba uniache wewe Ahhh Sio mbayaaa
Nimekubali
Sio mbaya tuachane naomba uniache wewe
Haikua zali
Sio mbaya tuachane naomba uniache wewe
Ahhh Sio mbayaaaa! Sio mbaya tuachane naomba uniache wewe
Ahhh Sio mbayaa... haaa Niach wewe eeh wewe Ummm!
KN RECORDS