
Bae ft. AJAY, Big yasa & Silverstone Barz Lyrics
- Genre:Drill
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
BAE ft. Ajay, Big Yasa & Silverstone Barz - BURUKLYN BOYZ
...
kwani ni kesho.
yoh
tano naneeee
yoh skia
mi nadai unitreat Ka bae(Ka bae)
mi nadai unitreat Ka msee(Ka msee)
hio position usipo kua active
najua ma mbleina wata play
kuna jeshi inangoja uwagee
yooh ahh Nisha pace
kuna jeshi ina ngoja uwa gee
yooh ahh Nisha pace
mi nadai unitreat Ka bae
mi nadai unitreat Ka msee
iyo position ispo kua active
najua mambleina wata play
kuna jeshi ina ngoja uwagee
yooh ahh Nisha pace
kuna jeshi inangoja uwagee
yooh ahh Nisha pace
nilijua ni take away
so Niko lucky kuwa na we
Haga bigi ina shake a waist
mind games Una play Ka chess
bigface unadai uko na stress
naku miss na sii juu ya sss .(stress)
si semi ni Mr perfect
but mbona unashinda ukiskiza Ur friends
this time siku shiki uki goo goo (goo)
round hii naku let
na Niko sure jutuutakam back
but already Nita kua nime left
my gal Niko cycle this love
Nita Baki nime enda kwa vet (vet)
kila saaa naskia Ku vent (vent) *ahhhh
juu ya vitu natoa kwa chest (chest)
*ahhhh ahhhh
double less someone in double
to fly am givin in trouble *ahh
Boyz in the back can touch I'm *ahh
gat to fast gat a buckle*ahh
gal to high can touch me.
none of themboyz wana pass me
my shoe that I fancy
any shoe that I wana see
what they really really want
go silly on a silly silly drum
I'm on it and get it get it done
let's go am on it wid a wid a man
boss like Didi Didi man
you better stay still man
so take the fucking will man
to the job and till done nigga
mi nadai uni treat Ka Bea
mi nadai unitreat Ka msee
hio position usipo kua active najua mambleina wata play
kuna jeshi ina ngoja uwagee
yooh ahh Nisha pace
kuna jeshi ina ngoja uwagee
yooh ahh Nisha pace
mi nadai unitreat Ka bae
mi nadai unitreat Ka msee
hio position usipo kua active najua mambleina wata play
kuna jeshi ina ngoja uwagee
yooh ahh Nisha pace
kuna jeshi ina ngoja uwagee
yooh ahh Nisha pace
*ahhh ahhh
Msupa flani ana itwa Miriam
ana colour ya chocolate na vanilla
hukua Sawa jooh kwa heights
hucheki nyungroo hadi kwa Giza
walai nampenda na Dhani na cap
mihupiga para bro ni era ndo cap
mihuamini set ups (set ups)
mazee came backs zili kua
better and greater
so wote Yuko Yuko ma doo
insha'Allah ita happen offcoss (offcoss)
nikiskia beats sometimes nadoz
sijui washikie huko coast
tulia G minta kusot
nilimsuka akaingia jooh box
tukipatana no remorse (there is no remorse×2)
siezi sema ana ni penda
but yes ye huni post
siezijua Ka atago hard na
vokee na ana forge
taeza offend them kama ghost
time ukiwaste maze ita Ku cost
naomba niamke niende mosque.
(mad man)
mi nadai unitreat Ka bae
mi nadai unitreat Ka msee
hio position usipo kua active najua mambleina wata play
kuna jeshi ina ngoja uwagee
yooh ahh Nisha pace
kuna jeshi ina ngoja uwagee
yooh ahh Nisha pace
mi nadai unitreat Ka bae
mi nadai unitreat Ka mseee
hio position usipo kua active najua mambleina wata play
kuna jeshi ina ngoja uwagee
yooh ahh Nisha pace
kuna jeshi ina ngoja uwagee
yooh ahh Nisha pace.